Haber Giriş:
Ziara ya Çavuşoğlu nchini Pakistan

Waziri wa Mambo ya Nje Mevlüt Çavuşoğlu atekeleza ziara rasmi ya Islamabad nchini Pakistan
Waziri wa Mambo ya Nje Mevlüt Çavuşoğlu amesafiri katika mji mkuu wa Islamabad nchini Pakistan kama sehemu ya ziara rasmi ya siku mbili.
Çavuşoğlu alipokewa na kukaribishwa kwanza na Rais wa Pakistan Arif Alwi.
Alwi aliwasilisha medali ya "Hilal-i Pakistan" kwa Çavuşoğlu kwenye hafla iliyofanyika Jinnah Hall.
Mevlüt Çavuşoğlu alitoa maelezo kuhusu mkutano huo kupitia akaunti yake...
-
17.01.2021
-
17.01.2021
-
17.01.2021
-
17.01.2021
-
17.01.2021