Haber Giriş:
Zelenskiy amshukuru Erdoğan kwa msaada wa mabaharia

Rais Zelenskiy atoa shukrani kwa Rais Erdoğan kwa msaada wa kurejeshwa kwa mabaharia wa Ukraine
Rais wa Ukraine Vladimir Zelenskiy, alimshukuru Rais Recep Tayyip Erdoğan kwa msaada wake wa kurejeshwa kwa mabaharia wa Ukraine, waliozuiliwa nchini Libya mnamo mwaka 2016.
Katika ujumbe aliochaipisha kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter, Zelenskiy alibaini furaha yake ya kurejeshwa nchini kwa mabaharia wa meli ya mafuta ya Captain Khayyam, baada ya kuzuiwa kwa miaka 5 nchini Libya.
Aki...
-
15.01.2021