Haber Giriş:
Wİto wa WHO kwa Tanzania kuhusu Covid-19

WHO yaitaka serikali ya Tanzania kuchapisha data za kesi za maambukizi ya Covid-19
Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) limeitaka serikali ya Tanzania kuchapisha tawimu za janga la virusi vya corona (Covid-19).
Mkurugenzi Mkuu wa WHO Tedros Adhanom Ghebreyesus, alisema katika taarifa ya aliyoandika kwamba Tanzania bado haijatoa habari kuhusu hatua zilizochukuliwa dhidi ya Covid-19.
Akifahamisha kuwa hali hii ni ya kutisha, Ghebreyesus alisema,
"Ninatoa wito kwa Tanzani...
-
25.02.2021
-
25.02.2021
-
25.02.2021