Haber Giriş:
Wito wa amani ya kudumu nchini Libya

Mwakilishi wa UN kwa Libya atoa wito wa uchaguzi huru na wa haki ili kudumisha amani nchini Libya
Mwakilishi wa Kudumu wa Marekani (USA) kwa Umoja wa Mataifa (UN) Linda Thomas Greenfield, alisema kuwa umoja, uwazi, uchaguzi huru na wa haki unahitajika kwa ajili ya kudumisha amani nchini Libya.
Katika hotuba yake aliyoitoa kwenye kikao cha Libya kilichofanyika katika Baraza la Usalama la UN, Greenfield alisema kuwa maendeleo makubwa yamepatikana kupitia mchakato wa kisiasa nchini Libya nd...
-
15.04.2021
-
15.04.2021
-
15.04.2021
-
14.04.2021