Haber Giriş:
WHO yaipongeza Uturuki

Uturuki yasifiwa kwa kuweza kupambana na corona
Mkurugenzi wa Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) barani Ulaya Daktari Hans Kluge ametoa pongezi kwa Uturuki ...
Kulingana na taarifa iliyoandikwa kutoka kwa Wizara ya Afya, Waziri Fahrettin Koca alifanya mkutano na Kluge kupitia njia ya video.
Wakati wa mkutano, kuongezeka kwa maambukizi ya corona, mabadiliko, na tafiti za chanjo ni kati ya mada zilizojadiliwa.
Kluge, akiipongeza Uturuk...
-
21.01.2021
-
21.01.2021
-
21.01.2021