Haber Giriş:
WHO yadai chanzo cha Covid-19 ni wanyama

Covid-19 yasemekana kutokea kwa popo na kusambazwa kwa wanadamu kupitia mnyama mwingine
Madai yametolewa kwamba virusi vya corona (Covid-19) vilitoka kwa popo na kuambukizwa kwa wanadamau kupitia mnyama mwingine.
Katika rasimu ya ripoti ya Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) ambayo iliwasilishwa kwa mwanadiplomasia mmoja huko Geneva, Uswizi kupitia shirika la Associated Press (AP), ilidaiwa kuwa uwezekano wa Covid-19 kuvujishwa kutoka kwenye maabara ulikuwa ni "mdogo sana".
K...
-
22.04.2021
-
22.04.2021
-
22.04.2021
-
22.04.2021