Haber Giriş:
WHO:Kuna tofauti kubwa za chanjo kati ya nchi tajiri na maskini
WHO yazungumzia suala la mchakato wa chanjo na tofauti iliyopo kati ya nchi tajiri na masikini ulimwenguni
Kumekuwa na tofauti kubwa inayoongezeka kati ya idadi ya chanjo za corona (Covid-19) zinazotumika katika nchi tajiri na idadi ya chanjo zinazotolewa kwa nchi masikini kila siku.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) Tedros Adhanom Ghebreyesus, alisema kuwa pengo kati ya idadi ya chanjo za Covid-19 zinazotumika katika nchi tajiri na idadi ya chanjo zinazotolewa na Mpango wa kim...
-
19.04.2021
-
19.04.2021
-
19.04.2021
-
19.04.2021