Haber Giriş:
Waziri wa Ulinzi mwenye asili ya Kiafrika Marekani
Lloyd Austin aapishwa na kuanza kuhudumu rasmi kama waziri wa ulinzi wa Marekani
Lloyd Austin ambaye alikuwa mgombea wa nafasi ya Waziri kwenye Idara ya Ulinzi ya serikali ya Rais wa Marekani Joe Biden, aliapishwa na kuanza kuhudumu rasmi Pentagon baada ya kupata idhini ya baraza la Seneti.
Baada ya kupitishwa kwa kura 93 dhidi ya 2 katika baraza la Seneti, Lloyd Austin alilakiwa Pentagon na Mkuu wa Idara ya Wafanyakazi wa Umma Jenerali Mark Milley pamoja na Naibu Katibu...
-
01.03.2021
-
01.03.2021
-
01.03.2021
-
01.03.2021