Haber Giriş:
Waziri Mkuu wa Mongolia ajiuzulu
Waziri Mkuu wa Mongolia, Ukhnaagiin Khurelsukh, amejiuzulu kutoka katika wadhifa wake.
Waziri Mkuu wa Mongolia, Ukhnaagiin Khurelsukh, amejiuzulu kutoka katika wadhifa wake.
Waziri Mkuu Khurelsukh aliwasilisha barua ya kujiuzulu na pendekezo la mabadiliko ya serikali bungeni siku moja baada ya mamia ya watu kuandamana mbele ya jengo la bunge kupinga hatua za serikali dhidi ya virusi vya corona.
Katika hotuba yake, Khurelsukh alidai kwamba Rais Khaltmaa Battulga aliandaa maa...
-
28.02.2021
-
28.02.2021
-
27.02.2021
-
27.02.2021