Haber Giriş:
Watu 9 wapoteza maisha katika shambulizi Mexico

Watu tisa wameuawa katika shambulizi la silaha wakati wa mazishi huko Mexico.
Watu tisa wameuawa katika shambulizi la silaha wakati wa mazishi huko Mexico.
Kundi la watu wasiojulikana lilishambulia kwa risasi watu waliokuwa wameenda kuhudhuria mazishi kwenye mji wa Celeya, katika jimbo la Guanajuato,
Watu 9 walifariki katika shambulizi hilo, mtu 1 alijeruhiwa.
Mamlaka yameripoti kwamba washambuliaji wamekimbia na uchunguzi umeanzishwa kuhusu tukio hilo.
...-
23.01.2021
-
23.01.2021
-
23.01.2021