Haber Giriş:
Watoto wachanga 10 wafariki katika moto India

Moto wapelekea vifo nchini India
Watoto 10 wamefariki katika moto kwenye kitengo cha wagonjwa mahututi cha hospitali katika jimbo la Maharashtra, India.
Wakibainisha kuwa watoto 7 waliokolewa katika moto huo, maafisa wa polisi wamebaini kuwa moto huo unaweza kuwa ulianza kwa sababu ya mzunguko mfupi katika wa umeme.
Imerekodiwa kuwa watoto waliokufa walikuwa na umri wa miezi 1 hadi 3.
-
20.01.2021
-
20.01.2021
-
19.01.2021