Haber Giriş:
Watalii wa Ukraine wapendezewa na Uturuki

Uturuki yaongoza kupokea watalii wengi wa Ukraine kwa ajili ya likizo
Hatua thabiti za usalama wa kiafya zilizochukuliwa wakati wa kipindi cha janga la corona (Covid-19), zimepelekea Uturuki kuwa chaguo la kwanza la watalii wa Ukraine kwa ajili ya likizo.
Kati ya watu 750,000 waliosafiri nje ya nchi ya Ukraine kwa ajili ya likizo wakati wa janga, Uturuki iliongoza kama nchi ya kwanza kwa kupokea idadi kubwa zaidi.
Katika nchi ya Ukraine, ambapo watu milioni...
-
02.03.2021
-
02.03.2021
-
02.03.2021
-
02.03.2021