Haber Giriş:
Wahamiaji waokolewa na vikosi vya Uturuki

Vikosi vya Ulinzi wa Pwani ya Uturuki vyaokoa wahamiaji 36 waliosukumwa majini na vikosi vya Ugiriki
Wakimbizi 36 waliokolewa kutoka kwenye boti iliyosukumwa ndani ya maji ya eneo la Uturuki na vikosi vya Uigiriki katika pwani ya wilaya ya Dikili mkoani İzmir.
Kufuatia taarifa iliyotolewa kuhusu kuwepo kwa kundi la wahamiaji kwenye boti kutoka Dikili, mashua ya vikosi vya ulinzi wa pwani ilielekezwa kwa eneo hilo.
Wahamiaji 36 waliokuwa kwenye mashua hiyo iliyodhamiriwa kusukumwa ndani ...
-
09.03.2021
-
09.03.2021
-
08.03.2021
-
08.03.2021
-
08.03.2021