Haber Giriş:
Virusi vya corona Uturuki

Idadi ya vifo katika mapambano dhidi ya virusi vya corona
Idadi ya vifo katika mapambano dhidi ya virusi vya corona (Covid-19) ndani ya masaa 24 yaliyopita imeripotiwa kuwa 154 nchini Uturuki.
Idadi ya watu wote waliopoteza maisha tangu mwanzo wa janga hilo imeongezeka hadi 31,230.
Wagonjwa 1,325 wapya waligunduliwa kati ya watu 225,511 waliofanyiwa vipimo ndani ya siku moja. Idadi ya kesi za maambukizi kwa siku ni 32,404.
Watu 18,015 walikam...
-
16.04.2021
-
16.04.2021