Haber Giriş:
Virusi vya corona Uturuki

Idadi ya vifo katika mapambano dhidi ya virusi vya corona
Idadi ya vifo katika mapambano dhidi ya virusi vya corona (Covid-19) ndani ya masaa 24 yaliyopita imeripotiwa kuwa 153 nchini Uturuki.
Idadi ya watu wote waliopoteza maisha tangu mwanzo wa janga hilo imeongezeka hadi 30,772.
Wagonjwa 1,253 wapya waligunduliwa kati ya watu 220,753 waliofanyiwa vipimo ndani ya siku moja. Idadi ya kesi za maambukizi kwa siku ni 29,081.
Watu 19,186 walikam...
-
10.04.2021
-
10.04.2021
-
10.04.2021
-
10.04.2021