Haber Giriş:
Virusi vya Corona Uturuki

Ripoti ya Waziri wa Afya kuhusu hali ya Covid-19 nchini Uturuki
Idadi ya vifo katika mapambano dhidi ya virusi vya corona (Covid-19) ndani ya masaa 24 yaliyopita imeripotiwa kuwa 157 nchini Uturuki.
Idadi ya watu wote waliopoteza maisha tangu mwanzo wa janga hilo imeongezeka hadi 30,619.
Wagonjwa 1,210 wapya waligunduliwa kati ya watu 222,753 waliofanyiwa vipimo ndani ya siku moja. Idadi ya kesi za maambukizi kwa siku ni 28,731.
Watu 19,186 walikam...
-
13.04.2021
-
12.04.2021
-
12.04.2021
-
12.04.2021