Haber Giriş:
Virusi vya corona Uturuki

Watu 146 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na virusi vya corona
Watu 146 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na virusi vya corona (covid-19) ndani ya masaa 24 nchini Uturuki.
Idadi ya watu waliofariki kwa virusi vya corona (covid-19) tangu kuzuka kwa janga hilo hadi kufikia sasa nchini Uturuki imefikia 30,462.
Jumla ya watu 221,738 waliweza kufanyiwa vipimo vya covid-19 ndani ya siku moja ambapo kesi 1142 ziligundulika. Idadi ya kesi za maambukizi n...
-
20.04.2021
-
20.04.2021