Haber Giriş:
Virusi vya corona Uturuki

Watu 117 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na virusi vya corona
Watu 117 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na virusi vya corona (covid-19) ndani ya masaa 24 nchini Uturuki.
Idadi ya watu waliofariki kwa virusi vya corona (covid-19) tangu kuzuka kwa janga hilo hadi kufikia sasa nchini Uturuki imefikia 30,178.
Jumla ya watu 201,215 waliweza kufanyiwa vipimo vya covid-19 ndani ya siku moja ambapo kesi 981 ziligundulika. Idadi ya kesi za maambukizi nd...
-
22.04.2021
-
21.04.2021
-
21.04.2021