Haber Giriş:
Virusi vya corona Uturuki

Watu 65 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na virusi vya corona
Watu 65 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na virusi vya corona (covid-19) ndani ya masaa 24 nchini Uturuki.
Idadi ya watu waliofariki kwa virusi vya corona (covid-19) tangu kuzuka kwa janga hilo hadi kufikia sasa nchini Uturuki imefikia 29,030.
Jumla ya watu 129,299 waliweza kufanyiwa vipimo vya covid-19 ndani ya siku moja ambapo kesi 735 ziligundulika. Idadi ya kesi za maambukizi nda...
-
22.04.2021
-
22.04.2021
-
22.04.2021
-
22.04.2021