Haber Giriş:
Virusi vya corona Uturuki

Watu 62 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na virusi vya corona
Watu 62 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na virusi vya corona (covid-19) ndani ya masaa 24 nchini Uturuki.
Idadi ya watu waliofariki kwa virusi vya corona (covid-19) tangu kuzuka kwa janga hilo hadi kufikia sasa nchini Uturuki imefikia 28,901.
Jumla ya watu 138,214 waliweza kufanyiwa vipimo vya covid-19 ndani ya siku moja ambapo kesi 698 ziligundulika. Idadi ya kesi za maambukizi nda...
-
18.04.2021
-
18.04.2021
-
17.04.2021
-
17.04.2021
-
17.04.2021