Haber Giriş:
Virusi vya corona Uturuki

Watu 68 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na virusi vya corona (covid-19) ndani ya masaa 24 nchini Uturuki.
Watu 68 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na virusi vya corona (covid-19) ndani ya masaa 24 nchini Uturuki.
Idadi ya watu waliofariki kwa virusi vya corona (covid-19) tangu kuzuka kwa janga hilo hadi kufikia sasa nchini Uturuki imefikia 28,706.
Jumla ya watu 135,291 waliweza kufanyiwa vipimo vya covid-19 ndani ya siku moja ambapo kesi 668 ziligundulika. Idadi ya kesi za maambukizi nda...
-
19.04.2021
-
19.04.2021
-
19.04.2021
-
19.04.2021
-
18.04.2021