Haber Giriş:
Virusi vya Corona Uturuki

Watu 131 wafariki kwa virusi vya corona (covid-19) ndani ya masaa 24 nchini Uturuki
Watu 131 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na virusi vya corona (covid-19) ndani ya masaa 24 nchini Uturuki.
Idadi ya watu waliofariki kwa virusi vya corona (covid-19) tangu kuzuka kwa janga hilo hadi kufikia sasa nchini Uturuki imefikia 25,736.
Jumla ya watu 165,094 waliweza kufanyiwa vipimo vya covid-19 ndani ya siku moja ambapo kesi 664 ziligundulika. Idadi ya kesi za maambukizi n...
-
02.03.2021
-
02.03.2021
-
02.03.2021