Haber Giriş:
Virusi vya Corona Uturuki

Watu 132 wapoteza maisha kutokana na virusi vya corona (covid-19) ndani ya masaa 24 nchini Uturuki
Watu 132 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na virusi vya corona (covid-19) ndani ya masaa 24 nchini Uturuki.
Idadi ya watu waliofariki kwa virusi vya corona (covid-19) tangu kuzuka kwa janga hilo hadi kufikia sasa nchini Uturuki imefikia 25,476.
Jumla ya watu 179,419 waliweza kufanyiwa vipimo vya covid-19 ndani ya siku moja ambapo kesi 675 ziligundulika. Idadi ya kesi za maambukizi n...
-
05.03.2021
-
05.03.2021
-
05.03.2021
-
05.03.2021