Haber Giriş:
Virusi vya Corona Uturuki

Watu140 wapoteza maisha kutokana na virusi vya corona (covid-19) ndani ya masaa 24 nchini Uturuki
Watu 140 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na virusi vya corona (covid-19) ndani ya masaa 24 nchini Uturuki.
Idadi ya watu waliofariki kwa virusi vya corona (covid-19) tangu kuzuka kwa janga hilo hadi kufikia sasa nchini Uturuki imefikia 25,073.
Jumla ya watu 148,425 waliweza kufanyiwa vipimo vya covid-19 ndani ya siku moja ambapo kesi 684 ziligundulika. Idadi ya kesi za maambukizi n...
-
04.03.2021
-
04.03.2021
-
04.03.2021
-
03.03.2021