Haber Giriş:
Virusi vya corona Uturuki

Watu 168 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na virusi vya corona (covid-19)
Watu 168 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na virusi vya corona (covid-19) ndani ya masaa 24 nchini Uturuki.
Idadi ya watu waliofariki kwa virusi vya corona (covid-19) tangu kuzuka kwa janga hilo hadi kufikia sasa nchini Uturuki imefikia 23,832.
Jumla ya watu 156,792 waliweza kufanyiwa vipimo vya covid-19 ndani ya siku moja ambapo kesi 902 ziligundulika. Idadi ya kesi za maambukizi n...
-
26.02.2021
-
26.02.2021