Haber Giriş:
Virusi vya corona Uturuki

Watu 176 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na virusi vya corona (covid-19) ndani ya masaa 24 nchini Uturuki.
Watu 176 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na virusi vya corona (covid-19) ndani ya masaa 24 nchini Uturuki.
Idadi ya watu waliofariki kwa virusi vya corona (covid-19) tangu kuzuka kwa janga hilo hadi kufikia sasa nchini Uturuki imefikia 22,807.
Jumla ya watu 162,786 waliweza kufanyiwa vipimo vya covid-19 ndani ya siku moja ambapo kesi 1,017 ziligundulika. Idadi ya kesi za maambukizi ...
-
17.01.2021
-
17.01.2021
-
17.01.2021
-
17.01.2021
-
17.01.2021