Haber Giriş:
Virusi vya corona Uturuki

Watu 194 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na virusi vya corona
Watu 194 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na virusi vya corona (covid-19) ndani ya masaa 24 nchini Uturuki.
Idadi ya watu waliofariki kwa virusi vya corona (covid-19) tangu kuzuka kwa janga hilo hadi kufikia sasa nchini Uturuki imefikia 21,879.
Jumla ya watu 183,413 waliweza kufanyiwa vipimo vya covid-19 ndani ya siku moja ambapo kesi 1,508 ziligundulika. Idadi ya kesi za maambukizi...
-
15.01.2021