Haber Giriş:
Virusi vya corona Mashariki na Afrika

Takwimu za vifo na kesi za maambukizi ya virusi vya corona (covid-19) Mashariki na Afrika
Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na virusi vya corona (Covid-19) kote ulimwenguni imezidi 2,151,801. Idadi ya kesi za maambukizi imezidi 100,362,000, na idadi ya wagonjwa waliopona imezidi 72,414,000.
Idadi ya vifo vya corona nchini India imeongezeka na kufikia 153,624. Idadi ya kesi za maambukizi imeongezeka na kufikia 10,677,000.
Idadi ya vifo katika nchi ya Urusi imeripotiwa k...
-
04.03.2021