Haber Giriş:
Virusi vya Corona Mashariki na Afrika

Ripoti kuhusu idadi ya vifo na kesi za maambukizi ya virusi vya corona (covid-19) Mashariki na Afrika
Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na virusi vya corona (Covid-19) kote ulimwenguni imezidi 2,004,980. Idadi ya kesi za maambukizi imezidi 93,640,000, na idadi ya wagonjwa waliopona imezidi 66,942,000.
Idadi ya vifo vya corona nchini India imeongezeka na kufikia 151,954 na idadi ya kesi za maambukizi imeongezeka na kufikia 10,528,508.
Idadi ya vifo vya Covid-19 ndani ya siku moja n...
-
26.02.2021
-
26.02.2021