Haber Giriş:
Vifo katika tetemeko Indonesia

Idadi ya waliopoteza maisha imeongezeka hadi 46
Idadi ya waliopoteza maisha imeongezeka hadi 46 katika tetemeko la ardhi jana huko Majene, jimbo la Sulawesi Magharibi mwa Indonesia.
Raditya Jati, Mkuu wa Kituo cha Habari na Mawasiliano cha Wakala wa Kitaifa wa Kudhibiti Maafa, amesema kuwa watu 46 wamepoteza maisha katika tetemeko la ardhi hadi sasa, 37 huko Mamuju na 9 huko Majene.
Jati amesema kwamba idadi ya waliojeruhiwa ni 826.
...-
06.03.2021
-
06.03.2021
-
06.03.2021
-
06.03.2021
-
05.03.2021