Haber Giriş:
Vifo katika shambulizi Afghanistan
Polisi 8 wameuawa katika shambulizi la bomu katika mkoa wa Nangarhar mashariki mwa Afghanistan,
Polisi 8 wameuawa katika shambulizi la bomu katika mkoa wa Nangarhar mashariki mwa Afghanistan, na raia 4 wameeruhiwa katika shambulizi jingine Kabul.
Msemaji wa Ugavana wa Nangarhar Ataullah Hogyani amewaambia waandishi wa habari kwamba washambuliaji walilenga kituo cha polisi katika wilaya ya Gandumak wilayani Shirzad na gari lililokuwa limetegwa bomu.
Hogyani amesema kuwa maafisa 8 wa ...
-
07.03.2021
-
07.03.2021
-
06.03.2021
-
06.03.2021