Haber Giriş:
Uzalishaji wa simu kuanza Uturuki

Rais Erdoğan azungumzia uwekezaji wa kampuni ya uzalishaji wa simu ya Xiaomi nchini Uturuki
Rais Recep Tayyip Erdoğan, alisema kuwa watengenezaji wa simu mahiri za smartphone Uturuki wanaendelea na hatua za kuelekea kuwa kituo bora cha utengenezaji.
Erdoğan alitoa taarifa juu ya uwezekazaji wa dola milioni 30 kwa ajili ya utengezaji wa simu za smartphone kwa ushirikiano wa Xiaomi na mshirika wa kibiashara Salcomp nchini Uturuki.
Akitoa shukrani kwa kampuni zilizofanya uwekezaj...
-
20.04.2021
-
20.04.2021