Haber Giriş:
Uvamizi wa jengo la Bunge Marekani; 4 wafariki

Watu 4 wafariki na 52 wawekwa kizuizini kwenye ghasia zilizozuka katika uvamizi wa jengo la Bunge Marekani
Watu 4 wameripotiwa kupoteza maisha na wengine wasiopungua 52 kuwekwa kizuini kufuatia ghasia zilizozuka baada ya wafuasi wa Rais Donald Trump kuvamia jengo la Bunge katika mji mkuu wa Washington nchini Marekani.
Ilani ya hali ya dharura ya siku 15 imetangazwa nchini humo.
Baadhi ya wafuasi wa Trump, ambao walikuwa wakiandamana katika mji mkuu, walivunja vizuizi vya polisi na kuingia kati...
-
24.01.2021
-
24.01.2021
-
24.01.2021