Haber Giriş:
Uturuki yatuma salamu za rambirambi Madrid

Uturuki imetuma salamu za rambirambi baada ya mlipuko kutokea na kusababisha vifo Madrid nchini Uhispania.
Uturuki imetuma salamu za rambirambi baada ya mlipuko kutokea na kusababisha vifo Madrid nchini Uhispania.
Taarifa iliyoandikwa na kutolewa na Wizara ya Mambo ya nje, ilieleza kuwa Uturuki imepokea kwa habari kwamba watu wamepoteza maisha na kujeruhiwa katika mlipuko mbaya huko Madrid.
"Tunatoa pole kwa watu wa Uhispania na Serikali nzima kwa ujumla na kuwaombea rehma za Mwenyezi Mungu wa...
-
26.02.2021
-
26.02.2021