Haber Giriş:
Uturuki yatangaza rasmi tarehe ya chanjo

Rais Recep Tayyip Erdoğan amesema kuwa chanjo dhidi ya corona itaanza mwishoni mwa juma.
Rais Recep Tayyip Erdoğan amesema kuwa chanjo dhidi ya corona itaanza mwishoni mwa juma.
Rais Erdoğan alitoa hilo matamko baada ya mkutano wa baraza la mawaziri.
Akikumbushia kwamba hatua iliyofikiwa katika vita dhidi ya corona, Erdoğan aliangazia hali ya kupungua kwa idadi ya vifo na kesi za maambukizi.
ERdoğan kwa mara nyingine amesisitiza suala la usafi wa kila mtu kama njia ya k...
-
23.01.2021
-
23.01.2021
-
23.01.2021