Haber Giriş:
Uturuki yalaani utekaji nyara wa wanafunzi Nigeria

Serikali ya Uturuki yalaani vikali mashambulizi ya silaha na utekaji nyara wa zaidi ya wanafunzi 300 Nigeria
Uturuki imelaani vikali mashambulizi ya silaha na utekaji nyara wa zaidi ya wanafunzi 300 wa kike uliotekelezwa na kundi la silaha kwenye shule ya bweni nchini Nigeria.
Katika taarifa ya maandishi iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje, ilitangazwa kwamba zaidi ya wanafunzi 300 wa kike walitekwa nyara katika shambulizi lililoandaliwa na kundi la silaha hapo jana kwenye shule ya bweni katika j...
-
15.04.2021
-
15.04.2021
-
15.04.2021
-
15.04.2021