Haber Giriş:
Uturuki yalaani shambulizi DRC

Uturuki, imelaani vikali shambulizi dhidi ya msafara wa UN Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) .
Uturuki, imelaani vikali shambulizi dhidi ya msafara wa UN Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) .
Katika taarifa ya maandishi iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya nje ya Uturuki, iliripotiwa kwa masikitiko makubwa kwamba balozi wa Italia Kinshasa, Luca Attanasio, na mlinzi wake wa karibu na dereva walifariki katika shambulizi la msafara wa UN katika jiji la Goma, mashariki mwa DRC.
Taarif...
-
06.03.2021
-
06.03.2021
-
06.03.2021
-
05.03.2021
-
05.03.2021