Haber Giriş:
Uturuki kuanza kutumia chanjo ya kupuliza

Chanjo ya kupuliza ndani ya pua
Chanjo ya kupuliza ndani ya pua, intranasal iliyotengenezwa na Uturuki kwa ajili ya kupambana na virusi vya corona, itaanza kutumika ndani ya mwaka huu.
Waziri wa Viwanda na Teknolojia wa Uturuki Mustafa Varank alitoa habari juu ya hali ya hivi karibuni katika maendeleo ya chanjo ya ndani, katika taarifa aliyotoa katika mji mkuu wa Ankara.
Waziri Varank alitangaza kuwa wanalenga kuanzisha...
-
16.04.2021
-
16.04.2021
-
16.04.2021
-
16.04.2021