Haber Giriş:
Urusi yaishutumu Marekani kwa kuingilia mambo yake ya ndani

Urusi imeishutumu Marekani kwa kuingilia mambo yake ya ndani kwa kuchapisha mambo yanayounga mkono maandamano
Urusi imeishutumu Marekani kwa kuingilia mambo yake ya ndani kwa kuchapisha mambo yanayounga mkono maandamano ya kuachiliwa kwa mpinzani wa Urusi Alexei Navalny aliyefungwa gerezani.
Katika taarifa ya maandishi iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya nje ya Urusi, ilitangazwa kwamba Ubalozi wa Marekani huko Moscow ulichapisha kwenye mitandao ya kijamii ili kuunga mkono maandamano ya kuachiliwa kwa...
-
24.02.2021
-
24.02.2021
-
24.02.2021