Haber Giriş:
Urusi yafanya majaribio ya mifumo ya S-400

Mifumo ya makombora ya ulinzi wa anga ya S-400 yafanyiwa majaribio na Urusi
Urusi imefanya majaribio ya mifumo ya makombora ya ulinzi wa anga ya S-400.
Wizara ya Ulinzi ya Urusi, lichapisha video inayoonyesha majaribio na ufyatuaji wa mifumo ya makombora ya ulinzi wa anga ya S-400, ambayo pia inamilikiwa na Uturuki.
Mifumo ya makombora ya ulinzi wa anga ya S-400 ilitumika kwenye zoezi la kijeshi lililofanyika kwenye eneo la polygon katika Jamuhuri ya Buryat ya Sh...
-
19.04.2021
-
19.04.2021
-
19.04.2021
-
19.04.2021
-
18.04.2021