Haber Giriş:
Urusi na Marekani zarefusha mkataba wa sekta ya anga

Urusi yaidhinisha kuongeza muda kwa makuabliano na Marekani juu ya ushirikiano wa anga
Urusi imeidhinisha kuongezwa kwa makubaliano na Marekani (USA), ambayo ni pamoja na ushirikiano katika sekta ya anga.
Katika taarifa ya serikali ya Urusi, ilielezwa kuwa makubaliano yanayojumuisha ushirikiano katika utafiti na utumiaji wa anga kwa madhumuni ya amani, yatatumika hadi tarehe 31 Desemba 2030.
Mkataba wa ushirikiano ulisainiwa mnamo mwaka 1992 na kuongezwa muda mara nne hadi ...
-
13.04.2021
-
13.04.2021