Haber Giriş:
Uhamiaji waongezeka nchini Burkina Faso
Idadi ya wahamiaji yaongezeka katika nchi ya Burkina Faso kutokana na matatizo ya kiusalama
Takriban watu elfu 560,000 walilazimika kuhama makazi yao ndani ya mwaka 2019 kutokana na matatizo ya kiusalama nchini Burkina Faso, na idadi hii iliongezeka hadi milioni 1 katika mwaka wa 2020.
Uhamiaji wa ndani ulionekana kutokea sana katika upande wa kaskazini mwa nchi.
Asilimia 54 ya wahamiaji waliohama kutokana na shida ya chakula, mavazi, malazi na matatizo ya kiusalama walikuwa ni ...
-
17.01.2021
-
17.01.2021
-
17.01.2021
-
17.01.2021
-
17.01.2021