Haber Giriş:
Uhaba wa chakula DRC
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Umoja wa Mataifa (UN) umesema kwamba idadi ya watu wenye njaa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambayo ilikuwa milioni 13 mwaka 2018, imeongezeka hadi milioni 27 mwaka huu.
Kulingana na utafiti mpya wa UN, shida kubwa ya njaa ulimwenguni inatokea katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Kulingana na uchambuzi wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) na Mpango wa Ch...
-
14.04.2021