Haber Giriş:
Uganda yafunga mitandao yote ya kijamii

Uganda imeamuru kufungwa kwa mitandao yote ya kijamii ikiwa imesalia siku mbili tu kabla ya Uchaguzi
Uganda imeamuru kufungwa kwa mitandao yote ya kijamii ikiwa imesalia siku mbili tu kabla ya Uchaguzi Mkuu kufanyika nchini humo.
Tume ya Mawasiliano ya Uganda (UCC) imeamuru watoa huduma za mtandao kuzuia vyombo vyote vya habari vya kijamii na zana za ujumbe.
Ripoti hii imetolewa na gazeti la "The Daily Monitor".
Kwa agizo hilo, Mkurugenzi Mtendaji wa UCC Irene Sewankambo amezitaka kam...
-
15.01.2021