Haber Giriş:
Tuzo za Grammy zaahirishwa kutokana na Covid-19

Usimamizi wa Tuzo za Grammy waahirisha hafla kutokana na ongezeko la maambukizi ya corona Marekani
Tuzo za 63 za Grammy zinazotambulika kama ‘Oscars’ za tasni ya muziki ulimwenguni, zimetangazwa kuahirishwa nchini Marekani kutokana na ongezeko la maambukizi ya virusi vya corona (Covid-19).
Katika taarifa iliyotangazwa kwenye tovuti ya muziki ya Rolling Stone, iliarifiwa kwamba hafla ya tuzo ambayo ilitarajiwa kufanywa Los Angeles California, Januari 31, iliahirishwa kwa sababu ya kuongeze...
-
23.01.2021
-
23.01.2021
-
23.01.2021