Haber Giriş:
Turkish Airlines yaendelea kuongoza

Shirika la ndege la Uturuki Turkish Airlines (THY) limeendelea kushika nafasi ya kwanza
Shirika la ndege la Uturuki Turkish Airlines (THY) limeendelea kushika nafasi ya kwanza barani Ulaya kwa kuwa na wastani wa ndege 590 kwa siku kati ya tarehe 11-17 Februari.
Kulingana na ripoti ya EUROCONTROL ya kati ya tarehe 11-17 Februari, Turkish Airlines imeongoza kwa kuwa na safari nyingi za ndege barani Ulaya.
Baada ya Turkish Airlines, Air France imechukua nafasi ya pili kwa kuwa ...
-
01.03.2021
-
01.03.2021
-
01.03.2021
-
28.02.2021