Haber Giriş:
Tunisia yaongeza vizuizi kwa wiki mbili zaidi

Ilani ya marufuku ya kutoka nje yarefushwa kwa wiki mbili zaidi nchini Tunisia
Wizara ya Afya nchini Tunisia imechukuwa uamuzi wa kuongeza marufuku ya kutoka nje kwa muda wa wiki mbili zaidi kuanzia siku ya Jumatatu kama sehemu ya hatua dhidi ya mlipuko wa janga la corona (Covid-19).
Msemaji wa Wizara ya Afya, Nassaf bin Aliyye, alitoa taarifa kwenye mkutano aliofanya na waandishi wa habari katika mji mkuu wa Tunis na kuzungumzia hatua mpya zilizochukuliwa dhidi ya jan...
-
14.04.2021
-
14.04.2021
-
14.04.2021