Haber Giriş:
Trump asema atatimiza ahadi yake ya kumaliza vita

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa atatimiza ahadi yake ya kumaliza vita visivyo na mwisho.
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa atatimiza ahadi yake ya kumaliza vita visivyo na mwisho.
Trump, katika taarifa iliyoandikwa na kuchapishwa kupitia Ikulu ya Marekani, amesema,
"Idadi ya wanajeshi wa Marekani nchini Afghanistan iko katika kiwango cha chini kabisa katika miaka 19. Vivyo hivyo, idadi ya wanajeshi nchini Iraq na Syria ni ya chini zaidi. Siku zote nitatimiza ahadi ya...
-
26.02.2021
-
26.02.2021