Haber Giriş:
Shirika la Turkish Airlnes laendelea kuonyesha mafanikio makubwa barani Ulaya

Shirika la ndege la Uturuki Turkish Airlines (THY) limeendelea kushika nafasi ya kwanza barani Ulaya
Shirika la ndege la Uturuki Turkish Airlines (THY) limeendelea kushika nafasi ya kwanza barani Ulaya kwa kufanya safari za ndege 596 kwa siku.
Kulingana na ripoti ya EUROCONTROL Turkish Airlines imefanya safari za ndege 596 kati ya tarehe 15-21 Februari, na kuwa wa kwanza barani Ulaya.
Shirika la ndege la Uturuki, ambalo limekuwa la kwanza kwenye orodha hiyo, limefuatiwa na Air France na...
-
05.03.2021
-
05.03.2021
-
05.03.2021