Haber Giriş:
Sherehe ya kuwakumbuka wahanga wa Covid-19 Marekani

Biden na Harris wahudhuria sherehe maalum ya kuwakumbuka waliofariki kwa Covid-19 kabla kuapishwa
Joe Biden, ambaye ni Rais mteule wa Marekani pamoja na makamu wa rais Kamala Harris, wamefanya sherehe ya kumbukumbu ya kuwaenzi watu 400,000 waliokufa kutokana na janga la corona (Covid-19) katika mji mkuu Washington walikokwenda kwa ajili ya hafla ya kuapishwa.
Biden ambaye alihudhuria sherehe hiyo na mkewe Jill Biden alisema,
"Tunahitaji kukumbuka usalama wetu. Wakati mwingine ni vigum...
-
28.02.2021
-
27.02.2021
-
27.02.2021